Kwa-kweli.Saidia fundi tujuane hapa
Unga-Unga mwana hakukuchi kuna kuchaPole sana mkuu, sasa unajikimu vipi?
Nipo site baadae mkuuKwa-kweli.
Mungu afanye wepesi Masta!Nipo site baadae mkuu
Inshallah shekheMungu afanye wepesi Masta!
Kila la heri.
Mkuu toa nenoC.E.O wa majobless nipo hapa.
Tupo tupo aisee tumekaa tu magetoni tunasbr simu ziite na haziiti dah😁😁Saidia fundi tujuane hapa
InshaAllah Amin!Mungu afungue njia
Nakubali.'Kuna hela naisikilizia' ndio kauli mbiu
Mungu atafanya wepesi!Tupo tupo aisee tuMekaa tu magetoni tunasbr simu ziite na haziiti dah
Mpaka kieleweke Masta!Hakuna kukata tamaa
Tunasubiri jua lizame tulaleMajobless wengine ndo tunaamka