Jamani macho yanauma balaah

moyochuma

Member
Oct 27, 2022
25
29
Habari zenu WanaJF:

Mwenzenu nimekuja naomba mnisaidie kitu hapa yaan mwaka Juzi mwezi WA Saba nilianza kusumbuliwa na tatizo la macho kuuma tena nikiwa usingizini nikawa na hangaika kama naumia Ile nastuka usingizi nakuta macho yanauma Sanaa aisee hayo maumivu hayaelezeki, kulipokucha nikaenda hospital nikaeleza wakanipa maandishi nikawa nasoma fresh Yaani naona bila shida, ila sasa doctor akanambia ninunue miwani.

Nikaona kama sielew nikaenda katika hospital nyingine tena NI private wakanambia ivyo ivyo...bas nikanunua nikawa nikihisi kichwa kinauma navaa miwani.

Jamani sasa Nina week macho yanauma nameza panadol ndo nipete usingizi wakuu kwa aliepata shida kama hii anijuze alifanyaje, maana sijui ht nifanyaje kama NI miwani navaa lkn macho yanauma msaada tafadhari...na lenzi kama imeisha unajuaje!?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom