frank mmasy
New Member
- Nov 27, 2013
- 2
- 0
Mcjal atujawaxungulia
Hahahahhh shosti taarabu imekukolea nakuona ulikua wairusha roho lol....
Ntakwambia ksho,sahv twende na bit kwanza
Mi nataka mduara sasa!!!!Wacha wacha waseme...watasema mchana eee usiku watalala.......
Mi nataka mduara sasa!!!!Wacha wacha waseme...watasema mchana eee usiku watalala.......
Hahahahahahhha wanifanya kifaranga cha kuku eeeh...
Mi nataka mduara sasa!!!!Wacha wacha waseme...watasema mchana eee usiku watalala.......
Kinyaunyau kikia cha pweza....mwataka mambo hamtayaweza haloooooooooooo:smile-big::smile-big::smile-big:Apo apo shost,ebu ongeza sauti
Mie ndo kumekucha macho makavuuuu hapa!!Hujalala..weyee
Apo apo shost,ebu ongeza sauti
ulale mnono na uote ndoto njema!!Uck mwema
Kinyaunyau kikia cha pweza....mwataka mambo hamtayaweza haloooooooooooo:smile-big::smile-big::smile-big:
Mie ndo kumekucha macho makavuuuu hapa!!
Tutakera majirani...
Weweya kolombadeeeee........Wacha wee....unazo hizo?
Kimya kimya...
Muvi gani wataka kutazama?Mie ndio kwanzaaaaa...naweka muvi
Weweya kolombadeeeee........