karugila
JF-Expert Member
- Nov 6, 2014
- 1,275
- 683
Haya bwana angalia usigwe marunguHahaha
Mi ndio time zangu hizi nakuwaga nalinda jf isiibiwe
Haya bwana angalia usigwe marunguHahaha
Mi ndio time zangu hizi nakuwaga nalinda jf isiibiwe
HahahaHuku mvua inapiga mwanzo mwisho
Amesema kwamba hata dalili ya kulala hana. Maana yake angetakiwa awe umelala,Unaweza ukadhani watu wapo macho na ni usiku, kumbe wengine wapo macho wanakaribia kutoka kazini saa kumi jioni...
Niaje...Heri ya mwaka mpya wadau mtaa huu
Shwari napita hapa kijiweni sioni watu,ila mie bado nipo nipo hapaNiaje...
Mida yetu mida yetuTeam popo