Kuna watu wamelala kama wewe upo nyoosha kidole juu
:thumbup::thumbup::thumbup:
Kuna watu wamelala kama wewe upo nyoosha kidole juu
Miss u too.
habari ya lindo?
leo hatulindi, majambazi yako wikiendi wala hatuli maana farkhina ana mtoko.
Hivi leo siku gani vile?mbona no people around??

wadau ndo nimeingia hapa lindoni farkhina ulipika nini na share yangu alikula nan? Ila nimewamis Jerrymsigwa Ngongoseke, Valentina, Nambe, Honey Faith, shansarie na mumeo kiwatengu na wengneo nawapenda sn.
Eeh bwana karibu ila huku leo kumenuna balaaa...
Mie nimejichimbia hapa bar ya jirani...
wadau ndo nimeingia hapa lindoni farkhina ulipika nini na share yangu alikula nan? Ila nimewamis Jerrymsigwa Ngongoseke, Valentina, Nambe, Honey Faith, shansarie na mumeo kiwatengu na wengneo nawapenda sn.
Good mornng...
Moning all,haya twendeni ibadani sasa.