Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,400
Wamelala hao... Siku hz umekuwa muumini mzuri wa CC Jerrymsigwa!?
Am smilling
Last edited by a moderator:
Wamelala hao... Siku hz umekuwa muumini mzuri wa CC Jerrymsigwa!?
Ndio... ulidhan ni lini?? Huku kwetu full bata. Ni public holiday, najua huko kwenu ni working days km kawa. Kamtumikie mkoloni.....
Ha ha haaa nimefurahi bwana!!
Ebu jibu pm yangu bana
Njoo unilinde
PM yangu imejaa sms nyingi mpaka imejam, ngoja nikipata access ya computer nipunguze ryt!!!!
Am smilling
Duh ukiwa mdada aisee na hizi social network hahahaha.....mi pm yangu ina ziro text
Duh ukiwa mdada aisee na hizi social network hahahaha.....mi pm yangu ina ziro text
Yaan acha kabisa.... Naona tu alert "New PM" kila nikitaka kufungua inaniambia "Delete some PM" kwa vile natumia simu siwezi.....
Hebu ngoja nikaswali Adhana hiyoo... Badae!!
hahahaa ila mimi mdada nina 0text!! Au ndo nshazeeka!?
Jina lako hilo sijui kisukuma ama kisafwa, halikudefine vzr.
Weka jina kama charminglady Madam B sweetlady
Uone pm inavyofurika, sasa we jina lako hilo halipo kihivyo labda baada ya kujitambulisha leo
Poa poa, asbh njema kwako na utuswalie sisi watenda madhambi
haaa jamani mbona la kike kabisa!!
Basi mie naanza ma-Pm ya kutosha sasa mpk yajae
ngoja tu walale, hata hivo wamejitahidi kulinda kwa siku kadhaa. mambo jerry?
umepotea wee jamaa
karibu Jerry,nipo mazoezini now badae kidogoo