Jerrymsigwa
JF-Expert Member
- Jun 23, 2012
- 14,084
- 8,400
walinde vizuri hao unaowalinda
duh, simu yangu iko na shida, so nikipata nyingine ntawajoin, cheers
walinde vizuri hao unaowalinda
duh, simu yangu iko na shida, so nikipata nyingine ntawajoin, cheers
Mlioenda kanisani mie nimeshawaandalia chai na kabla sijakupa chai niambie somo la leo kanisani lilikuwa lipi?
Wambie wacheze na mshahara,wasicheze na kazimie mornng,noon,afternoon,evining,night zote ni njema kabisa ila mmekuwa wavivu kulinda!
Wambie wacheze na mshahara,wasicheze na kazi
Laleni kesho shule
kabisa..sijui nifanyeje waje..ngoja niwaite. farkhina bily Jerrymsigwa Ngongoseke rugwebe78 binamutz na wasaidizi wote kujeni this way..
huku waalimu hakuna kuna walinzi tuu..
huku waalimu hakuna kuna walinzi tuu..
Njoo unilinde
Laleni kesho shule
mmh hivi leo ni Juma3!!