Halafu jana kwa kuwa nilivaa koti refu na kofia ndio ukajua mie wa kiumeee...
Zile zilikuwa mbinu tu za kiintelijensia ...mie mdada bwana lol
Red Giant...leo kama jana...ila nna ahadi ya dompo kutoka kwa
Jerrymsigwa...
Halafu leo mie mtandika mkeka na muondoa vyombo baada ya mlo...so itabidi niwe mpole...