Nani yuko macho tupige stori?

jamani wakuu net imekua tabu sana kwangu dah ntafukuzwa kazi kwa stahili hii hadi sasa mambo magumu sana farkhina mbona unanipa maharage jaman wakati nimeona kitamu hapa juu.
 
Last edited by a moderator:

Hahahahahah kumbe hatumo kwenye bajetiπŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„πŸ™„.
Na mie tambi zangu nakula peke yangu..😱😱😱

Habari ndio hiyo aisee chezea budget wewe! Napiga na kitu cha kijapan "sushi"
 
jamani wakuu net imekua tabu sana kwangu dah ntafukuzwa kazi kwa stahili hii hadi sasa mambo magumu sana farkhina mbona unanipa maharage jaman wakati nimeona kitamu hapa juu.

Pole sana kumekucha sasa amka
 
Last edited by a moderator:

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…