Nani yuko macho tupige stori?

Nani yuko macho tupige stori?

Nadhani watakuwa wamelala na viatu,zile taarab na miduara ilikuwa balaa,na maji yenyewe yamekatika sijui hata kama wameoga pia😀😀😀

Hahahahaha kumbe ulikua wapiga chabo...basi vumbi hili na taarabu kama tumevaa soksi lol....
 
Hahahaha shoga angu tangu mda ule bado warusha roho😱😱😱😱😱

Hivi namuonea haya tu huyu jerrymsigwa la sivyo ningeshasasambura.....
Mduara umenoga shosti.....
 
Hivi namuonea haya tu huyu jerrymsigwa la sivyo ningeshasasambura.....
Mduara umenoga shosti.....

Kumbe Mimi hunionei aibu sio? Jerrymsigwa kishapaki gari sasambua mwali wee tuone
 
Hahaha toba weee usisasambue...

Shosti wazo kusasambura tena basi naona jinsia me zinaongezeka humu...
Na haya manjonjo ya mduara nayo nipunguze naona wameingia wenye heshima zao....wapi zilipendwa nicheze bila kutoka jasho mie.....
 
NishaAcha mduara saa hizi...
Niko bussy na " najitulizaa kwake kasukuu yoyo...hataki maneno......."

Kweli leo umekomaa na jf simchezo mpaka walinda vitasa wenzangu wamekuacha farkhina@Jerrymsigwa@rugebwe78@mimi@bily
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom