Nani yuko macho tupige stori?

Nani yuko macho tupige stori?

Hayaa ndio naaga rasmi TEAM popo wote ambao bado mpo...acha nielekee zangu kwetu kwa bi nyau...
J3 njema wapendwa@jerrymsigwa Ngongoseke@ farkhina na wengineo
 
Last edited by a moderator:
Daaa...watu wako gado aseee,,,mbona wengine mlikimbia lakini??
 
Popo halali mchana wala usiku msidhani nimelala nawatazama tu hapa
 
Back
Top Bottom