Nani yuko macho tupige stori?

Nani yuko macho tupige stori?

Hahahaa....farkhina bibi majungu hayo...jerrymsigwa hanionei raha mie...ila leo mie mpaka majogoo nirudishe heshima...lol

Ahhahahaha ndio zako wajibu majogoo uonekani umekesha😛😛😛😛😉😉
 
Ahhahahaha ndio zako wajibu majogoo uonekani umekesha😛😛😛😛😉😉

Hahahaaa leo niko na kikombe cha kahawa hapa na miguu nimeitia majini...na hiyo movie ya denzel washington huku mduara kidogo....full mkesha leo.....
 
Huyu Nambe ni mjanja duh! Ana act yupo kumbe kapiga usingiz na asbh akikurupuka anaanza kuweka comment as if alikuwepo

Jamani leo nipooo...
Halafu nimesikia gomba sio dawa za kulevya...hebu nijikoki mie nirudishe heshima yangu......
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom