Mie ndio kwanzaaaaa...naweka muvi
Movie gani?
Mie ndio kwanzaaaaa...naweka muvi
hata najua bishost si wanaimba hivo kwenye huo mduara mwe!!!Inawezekana pia nimetukana maana nasema nsolijua ha ha ha!!Hahahahha ndio nini hiyo kololmbadeee...
Muvi gani wataka kutazama?
hata najua bishost si wanaimba hivo kwenye huo mduara mwe!!!Inawezekana pia nimetukana maana nasema nsolijua ha ha ha!!
2 Guns..denzel Washington
Movie gani?
Yereuwiii ninavyompenda denzel ngoja nikatengeneze na popcorn kabisa!!😛opcorn😱ne for me and farkhina, and 😛opcorn😱ne for you!!2 Guns..denzel Washington
mwe we mwana we wataka kuch kuch hotae tu njoo udowee japo popcorn lolAah tizama mwenyeo....
Yereuwiii ninavyompenda denzel ngoja nikatengeneze na popcorn kabisa!!😛opcorn😱ne for me and farkhina, and 😛opcorn😱ne for you!!
Opppsssss:tape::tape::tape::tape::tape::tape: sijui waimba kwa kidigo wale!!Hahahhaha watukana mwenzangu....😛😛😛😛
ha ha ha vizuri umefanya hivo maana ungeirewind bila hiyana lol:smile-big:Naweka pozi mpk umalize kutengenezaa...sawa sawa
ha ha ha vizuri umefanya hivo maana ungeirewind bila hiyana lol:smile-big:
Uck mwema
2 Guns...Denzel
Mmh mpo? farkhina leo umekuja na mduara style!! Ebu weka ya babu chuchu basi nami roho usuuzike
Na mie nakuja lol...acha nichukue ka-dompo kangu...
Hhhhahahahahahah kumbe upo?
mwe we mwana we wataka kuch kuch hotae tu njoo udowee japo popcorn lol