bily
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 8,029
- 5,813
Mkuu mzima kitambo sana asee.
Kama kawa...kawa dawa..sio kesi...sio deni..KIJIWE kinarudi
Kama kawa...kawa dawa..sio kesi...sio deni..KIJIWE kinarudi
mzima mkuu?. hivi unahabari zozote za Nambe? nimemmiss kiama!.
bily mkesha kumbe unaendelea hata kuniita?Mkuu mzima kitambo sana asee.
bily mkesha kumbe unaendelea hata kuniita?
Mkuu unamaanisha nini ? Habari za miezi ?
farkhina jamani Mimi shemeji yako hujanimiss?Nimmemis pia tangu aliniaga anaenda facebook kuchuna buzi hajarudi tena lol....
farkhina jamani Mimi shemeji yako hujanimiss?
nipo poa mkuu nimetulia hapa nasikiliza soundtrack ya scarface, push to the limit. umewahichheki scarface?Reta habari mkuu
sema mkuu. what movie did you see last time?Leta mathitoryyyy
some of the lyrics.nipo poa mkuu nimetulia hapa nasikiliza soundtrack ya scarface, push to the limit. umewahi cheki scarface?
sema mkuu. what movie did you see last time?
Nipo mpnz, sema siku hivi nimeihama #TeamPopo ....... Nawamissijeeeeeee??????