bily
JF-Expert Member
- Apr 5, 2012
- 8,029
- 5,813
back to topic jamani huku full kipupwe kibaridi tu hapo je Jawilat , Kipaji Halisi , Evyln salt , Slave , farkhina , Heaven on Earth .
Last edited by a moderator:
back to topic jamani huku full kipupwe kibaridi tu hapo je Jawilat , Kipaji Halisi , Evyln salt , Slave , farkhina , Heaven on Earth .
Safi mkuu Hawa wadau Wa huu Uzi sijui wako wapi siku hizi
Ndio mkuu Kipaji Halisi mambo yamechange hawa wadau wanamambo mengi.
mkuu Kipaji Halisi mbona tumejaa telee???Safi mkuu Hawa wadau Wa huu Uzi sijui wako wapi siku hizi
daah tupo sana tu baabu,Ndio mkuu Kipaji Halisi mambo yamechange hawa wadau wanamambo mengi.
mkuu Kipaji Halisi mbona tumejaa telee???
mkuu mapopo wote woyeeeeee leo kama kawada mpa riamba.Safi mkuu@Slave inabidi tutafutane mapopo wote
Aise inakuaje washkaji? Tukutane tena badae
Uko wapi?..niko kibarazani hapa
Daah nimemiss hichi kijiwe
Mnakikimbia
Itabidi tukiamshe aise lol
Naona mgodi umetema Karibia tutarudi kijiwe chetu
Naona mgodi umetema Karibia tutarudi kijiwe chetu