Godz favourite
Member
- Mar 16, 2015
- 75
- 28
Dem gani yupo macho
Wadau mko humu..
mkuu watu wamepotea sana humu !
bily tupo aisee mambo yamekua mengi na hizi bando za mb8😜Wadau wamepotea sana jamani au tusubirie msimu wa joto uanze uenda baridi imezidi ila home najua kwa sasa ni joto. farkhina Red Giant Jerrymsigwa shansarie Ngongoseke Excel binamutz slim5 Kipaji Halisi Valentina Mimi49 @jawilat sea breeze etc karibuni uzi umedorora sana.
Mambo ya mb8
Bi shost ulipotelea wapi
Nilifichwa mahali bibi wee....
Hahahahaha halooooooo
Mie nipoooo
Asante kwa kuniita kumbe kuna watu walipata mgao wa escrow akaunti humu !
Ha ha ha huu uzi bado upo...nimekumbuka mduara tulokuwa tukiucheza loh....:lol:Hatujamboo
Ha ha ha huu uzi bado upo...nimekumbuka mduara tulokuwa tukiucheza loh....:lol:
Hahahaha naukumbuka mie nlikua napitata pita bembeni tu mana sina wowowo la kuchezea mduara lol
Nambe yeye alipanda juu ya kiti asa
Kiwanja gani upo nikufuate...