CharmingLady
JF-Expert Member
- Apr 16, 2012
- 18,304
- 12,997
Mambo vp mkuu Mndengereko shwari njooni huku ndo mda wenyewe huu Jawilat , Excel, Ngongoseke , Jerrymsigwa , Rugebwe 78 , Red Giant , charminglady , Nambe njooni huku mbiu ya mgambo imelia.
mambo ni poa.......ulibaki mwenyewe jaman pole
no tabu, thanks
Sent from my iPad using JamiiForums
Mambo mkuu naona unahimarisha ndoa.
Mambo mkuu naona unahimarisha ndoa.
Mkesha waendlea ila tumekumic sana karibu mpishi wetu farkhina.
Alafu nadhani ukila maeneo ya baridi ndio inanoga kuliko kuila kwenye joto uzuri wake ule na mwenzako.
Niaje jaman
yap yap! Karibuni Ma watchman na ma watchgirl tuchaat.
Mzima wewe
kwa sana tu,vp weye..?