Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
usingizi huooooooo
Me pia jmn....no usngz...daaah
kwani hiyo bara bara ikoje mi sijawahi fika huko nipe data kamili.
2 words safi sana, msalimu shemeji
kwani hiyo bara bara ikoje mi sijawahi fika huko nipe data kamili.
Niko na shemeji ako leo
dah mimi mwenyewe sina hamu ya kulala
Alafu mkuu umemenya ukaacha katikati hii ina symbolise nn ?
twende nikupeleke week ijayo ukaione hio bara bara
Jawilat na wewe umebaki peke yako kuangalia lindo?
inahitajika iliwe....tena kwa madoido
Kwahiyo shemeji kagoma usibonyeze simu ? Pole sana mkuu.
Ebu niambie tukutane wapi maana nina hamu ya kuiona hiyo bara bara.
aha aha hiyo raha ilioje kwa madoido tena unaweza dhani upo Beverly Carlifonia kumbe upo Kwa mfuga mbwa manzese.
umeona enhee.......hiyo kitu unakula roho yafurahia tu