Heaven on Earth
JF-Expert Member
- Mar 21, 2013
- 37,226
- 26,716
Ehee niambie kwann unanitenga sana jamani au bro ndio kakuambia nini ?
bro kakimbia huku ukame bustani zinahitaji kumwagilia ngasoka Hoe mie
Ehee niambie kwann unanitenga sana jamani au bro ndio kakuambia nini ?
Alafu nadhani ukila maeneo ya baridi ndio inanoga kuliko kuila kwenye joto uzuri wake ule na mwenzako.
pale pale tunapokutania siku zoteee
Hiv wadau...kuna ajali yyt ilotokea jana, marangu kilimanjaro? Nijuzeni plzz
Watu wako macho guiz
haya ukiwahi kufika uni pm alafu uchague basi nzuri ambayo in privacy service ili tusipate tabu.
na daslama siku hizi kuna kijibaridi ile mbaya
aile ya siku ile kwani haikuwa na privacy...kaka ako siku akipita huku ninalo
Haya ndoto njema bana najua saivi wengine niView attachment 148081
jana mhh sijui...ila kuna ile ya rufiji watu 21 wamefariki sijui umesikia
Yani taa zinaonekana sehem chacheee za Africa; sehem kubwa ni gizaaaaa
Ehuuuu!!
Asije huku ataugua presha bure. Ok kwahiyo tukianza safari tunafika lini ?
Hiv wadau...kuna ajali yyt ilotokea jana, marangu kilimanjaro? Nijuzeni plzz
Wengi sana maskini Mungu awalaze mahala pema Amen.
nimefika aisee!! mweupe na mwepesi kabisa for ze mission!
bring bling bling!
Dah pole yao wote aisee!! Yani kuishi Tz mtu unakuwa very close to death oh Mungu tusaidie tu ndio nchi yetu hii tufanyeje sasa