Kipaji Halisi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 2,280
- 1,364
Mupoo... nimewakosa aisee!!
Tupoooo
Mupoo... nimewakosa aisee!!
People jambo nyinyi?
People jambo nyinyi?
Hulali wewe? Leo niko free nkaona nije hapa kuwasabahi ndg zanguni
Tupoooo
Ebu tangulia nakuja nikukute pale kwenye giza
Kama kawa..kama dawa
Kuna jipya gan hapo ulipo??
Kama kawa..kama dawa
hatujambo,habari ya siku mingi?
mupenzi nimekumic sana
Hapa hkn lolote...sijui huko kwenu
Hujambo?
mbona sikuoni
Natafuta usingiz... hebu angallia kama upo huko unitumie kwenye PM
Nzuri sana
Niko wng...Naona wamekuficha hukoo...
Hahahaha acha fujo wewe
kwenye party natia maguu.
Jipangeeeeee tufanye yetu.Whatsapp hapana patikana wewe.