Valentina
R I P
- Oct 12, 2013
- 24,688
- 28,834
Waungwana tuko poa humu...
Nipoa sana
Waungwana tuko poa humu...
Jerrymsigwa xmass haijaanza huko australia mjini?
Njema mwenzng,vp weye
Hamjambo?
Jerrymsigwa xmass haijaanza huko australia mjini?
Watu wapo kwenye xmass???
mi nipo tayari ingawaje mi mgeni ila najua kuna wenyeji kama Jawilat Ngongoseke farkhina bily Jerrymsigwa, tupo pamoja.
Nipo leo jamani, merry chrismass kwa wanaoamini!!
--one love to all POPOZ---
mi nipo tayari ingawaje mi mgeni ila najua kuna wenyeji kama Jawilat Ngongoseke farkhina bily Jerrymsigwa, tupo pamoja.
Fanya ibada na Mungu wako wewe...wakati mwingine Muumba hukunyima kidogo usingizi walau umkumbuke.
mi nipo tayari ingawaje mi mgeni ila najua kuna wenyeji kama Jawilat Ngongoseke farkhina bily Jerrymsigwa, tupo pamoja.
Karibu kijana leo mwendo wa kahawa chungu tu hapa
Mkuu umeamkaje au bado umelala? Kahawa chungu ni noma.