mi nipo tayari ingawaje mi mgeni ila najua kuna wenyeji kama Jawilat Ngongoseke farkhina bily Jerrymsigwa, tupo pamoja.
jamani nimewamiss humu!. mpo.
Hamjambo?
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Mm sijambo mzima Kama msumari. kila nikikumbuka yakesho usingizi hauji
Xmass imeendaje lakini my dia?Hukunialika kwa mama ngongoseke nije kudowea japo pilau?😀😀😀😀😀😀😀:beer::beer::beer:
za kwako Jerrymsigwa?
Xmass imeendaje lakini my dia?Hukunialika kwa mama ngongoseke nije kudowea japo pilau?
Xmass imeendaje lakini my dia?Hukunialika kwa mama ngongoseke nije kudowea japo pilau?
Maskini wee pole,itabidi hii xmass tuirudie yetu hata Mimi nilikuwa kazini sikukuu yote
Haya wakuu usiku mwema kwa woote mlio club, church ama home
afande shikamoo,naomba nsindikize naenda mtaa wa mmu kuna giza naogopa
Mupoo... nimewakosa aisee!!