Nani yuko macho tupige stori?

Nani yuko macho tupige stori?

Mkuu hiyo laki 2 ningelipwa mbona ningeshakuja huko USA? Elfu 75 kwa mwezi nakula,Nina wake 2 mmoja yupo hapa hapa jukwaani anaitwa mimi49 mwingine mama chanja yuko masasi maisha yanakwenda

mkuu umehitimu lini kidato cha nne?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom