Ngongoseke
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 3,202
- 1,464
Laki 2 saa8?? Ndio mana wanakuja huku kuomba vibarua vya kulima na kujiita 'back packers'. Thats too low wage
Hahhaha acheni kunipa mamoto nikaja kuzamia bure
Laki 2 saa8?? Ndio mana wanakuja huku kuomba vibarua vya kulima na kujiita 'back packers'. Thats too low wage
Mwambie mwenzio bana...
Mimi mzima nimekumiss wewe tu farkhina
haya mama lala na wewe!! waume zenu naona leo wamekaba mpaka penati!!
uthiku mwema ntoto nzuri!
mkuu naona unaamka na kulala!!
mi nshaapa, nikikamata mmojawapo kati ya Jawilat, mimi49, farkhina, ama 'Valentina',
watasahau kabisa id zao za jf!! hahahahaaa!!
mwaka mzima tu mnasema walikuwepo! mnaangalia tu manyoya...!!!
nitajie jina lake nimtafute...
Mmh@Jawilat au na wewe mgeni hapa? Yaani humjui mke wangu? Siyule Dada mweupe mweupe kila siku acheza segere hapa na baikoko jamvini humjui?muulize farkhina atakuambia jina lake
Te te te aisee kumbe? Na mimi nimtaje wangu!!?
Hahhaa Jerrymsigwa mtaje tu,mimi wangu anasiku 3 simuoni hapa sijui nishaibiwa🙁:thumbdown:🙁🙁 hivi wewe bint wakisegeju ushanikimbia au inakuwaje?ukichelewa kurudi mpaka kesho itabidi nkutaje tu jina hapa
haya mama!!
naona leo umevuta shuka mapeeeeema!!
hahahaaa!!! chezea ugwadu wewe!! baba nanii kakomaa leo! teh teh!
mkuu naona unaamka na kulala!!
mi nshaapa, nikikamata mmojawapo kati ya Jawilat, mimi49, farkhina, ama 'Valentina',
watasahau kabisa id zao za jf!! hahahahaaa!!
mwaka mzima tu mnasema walikuwepo! mnaangalia tu manyoya...!!!
Vipi mshalala?
Sijalala mie...nipooooo
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
hahahaaa unapenda white totoz?