laleni mkue
Jamani mnakaribisha walinzi wapya humu ndani?
amu hujambo? Hivi pm yangu ilifika au iko njiani bado sipat jibjamani wazima humu?walinzi leo mpo off au? :faint:
Farkhina, Mzee wa mapishi hujambo mama
Sina usingizi kabisaaa
jamani wazima humu?walinzi leo mpo off au? :faint:
Ah tukiwa off tutakula wapi?
Sent from my BlackBerry 9320 using JamiiForums
Uko nyt shift eeh
Uko nyt shift eeh
We jina lako ni Tofali? Duh hii id name ni unique
M unique too....