Hahahaaaaa...natamani ungetoa tu hiyo pua ili uko kuzurura,kwanza kuzurura gani uko lakini?
Badala ya kunipa pole wanicheka😡😡😡😡
Hahahaaaaa...natamani ungetoa tu hiyo pua ili uko kuzurura,kwanza kuzurura gani uko lakini?
Hivi mmelala ama!!!!!
Hw du u du my dia....
kwa hiyo umemkatia pande nani leo?
jamani hutaki tupendane mama?
kidogo kilichopo, mnakatiana!
eeeh, ndio maana nikasema tukatiane! kila mtu angalau apate nusunusu!
Am good dear leo mkesha ee
Mwenzangu mkesha wangu unaishia hapa,mchina wangu umeisha charg. Niwatakie usiku mororo.
Naona wamelala hao...we hulali?
farkhina....umenionea wapi kakangu Jerrymsigwa?
Ah alikuepo hapa mda si mrefu....sijui hata kaelekea wapi.
Unatafutwa kwa mbwa wa polisi na dada ako King'asti....
Napamba miti ya chrismas nina ugeni akina Nambe na charminglady wanantembelea
Jamani nyie.....hata hujaniambia mdogo wako nkawaandalia makulat siku hiyo!!!!! Au watakula hiyo miti? Lol
Oooh saiv bado naandaa outlook..kwenye misosi najua pilot ni wewe
Alafu mie gauni sijapata bado....uninulie au ntakutia aibu maana wewe umependezaa mwenzio niko na dera langu hili limefubaa🙄🙄🙄🙄:beer:🙄