Gorgeousmimi
JF-Expert Member
- Jun 21, 2010
- 9,296
- 7,688
Mambo Jerrymsigwa?Te te teeee hapa weka mbali na wachagga
Last edited by a moderator:
Mambo Jerrymsigwa?Te te teeee hapa weka mbali na wachagga
Mambo Jerrymsigwa?
hee!! mbona naona uko huru !?
Washawasha i missed u mate! Nimekua namuona washwawashwa tuWapo watu kibao WA kuchonga nao ngenga
Nalog off
Weka picha!!
Washawasha i missed u mate! Nimekua namuona washwawashwa tu
kweli mkuu niliadimika kidogo mkuu wangu JERRYmdigwa.
Nalog off
Welcome back Washawasha....
nashukuru bi dada si unajua mapenzi upofu ma mimi Nina macho ya bandia nilikwenda kwa WiFi yako kule operesheni kimbunga.
Nalog off
Nilihisi Mulongo anahusika kukata umeme, welcum back
walinikaribisha vibaya nawamaindi kinoma natamani operesheni kimbunga irudi tena. Binafsi sijambo namshukuru muumba sijui weye bi dada?Hahahahaha ndio ukaibiwa simu huko?
Hajambo lakini?
walinikaribisha vibaya nawamaindi kinoma natamani operesheni kimbunga irudi tena. Binafsi sijambo namshukuru muumba sijui weye bi dada?
Nalog off
Pole sana...
Mie mzima nashkuru....