Nami nashukuru km we we mzima
Za tangu jana....
Nami nashukuru km we we mzima
mwambie asijekupata madhara njiani...'asione vya elea....
hahahaa... Acha mikwara basi, mwenzio nataka niletewe network huku, we si umeshindwa?
Iam joining you today!
I need a company from a girl with a bikini!!
Wapo watu kibao WA kuchonga nao ngenga
Nalog off
hwaaaaaaaaaa!! (mwayo). twende sasa.sijui kafungiwa ndani??hayo mambo ya kitchen hauyapendi??
ulikua wapi jamani nalog off!
Pole sana...
Mie mzima nashkuru....
umepotea njia hakuna girl hapa.
Hamjambo humu ndani?
hatujambo,shikamoo!
Marhabaaa...
lakin mie nin njaa...
Pole....kunywa maji utashiba