Hornet
JF-Expert Member
- Apr 29, 2013
- 26,844
- 52,251
nilikwenda ukweni mara moja. Vipi uhali gani?
Nalog off
mie mzima,nilimis kweli michango yako,karibu tena!
nilikwenda ukweni mara moja. Vipi uhali gani?
Nalog off
Hamjambo humu ndani?
Ha ha haaa King'ast dah umenipa raha sana leo, I love u bureee
--twa mbombo--tukafu itolo mweeee ugwe nkukulu
mie nshaswali labda Ngongoseke ndo bado..
Swalaaaa swalaaaa
Safi mamito... Endelea kuwahimiza bana, ujue ni muhimu eeh!!
Mmmmh.... huo mgao wa "I love u" ni chiboko!!! Hivi kuna mdada hajagawiwa humu???
mie bado labda kwa vile mbibi!
Bi shosti hujambo? Huonekani?
Jiko umeniachia peke yangu😡😡
Ha ha haaa King'ast dah umenipa raha sana leo, I love u bureee
--twa mbombo--tukafu itolo mweeee ugwe nkukulu
Mmmmh.... huo mgao wa "I love u" ni chiboko!!! Hivi kuna mdada hajagawiwa humu???
haya@farkhina Jerrymsigwa come this way mumkumbuke Mwenyenzi Mungu..
Utapata toka Kwa mie mbabu!!!
Senkyuu sana hope umetuswalia
Mmmmh.... huo mgao wa "I love u" ni chiboko!!! Hivi kuna mdada hajagawiwa humu???
mtoto mbichi wewe wajiita mbabu!
niko wangu leta mpya