Kipaji Halisi
JF-Expert Member
- Jan 4, 2012
- 2,280
- 1,364
Ndio mmelalla mapema yote hii?
Mie Niko best
Ndio mmelalla mapema yote hii?
Mie Niko best
tulieni niwape stori msitingishike!. kulikuwa na binti mmoja anaitwa farkhina alikuwa anataka kuolewa na wakajitokeza wachumba wawili wanataka kumuoa mmoja anaitwa Ngongoseke na mwingine Jerrymsigwa. binti akawa kwenye dilemma kubwa, amuache nani amchukue nani!?. basi akapata wazo la kuwaandalia msosi (ugali wa muhogo na dagaa wa kigoma). ngongoseke hata nusu ya ugali hakufika akasema ameshiba (@jawilat na Valentina wakasema huyu ndo mwanaume). jerrymsigwa alimaliza ugali wote akataka kula na aliobakiza ngongoseke sema mshenga alimkataza.
sasa farkhina akaulizwa umemchagua nani?. akajibu jerrymsigwa!!. mimi49 akapigwa na butwaa akamuuliza dada unachaguaje mume mrafi?. farkhina akamwambia, huyo unaemwita mmrafi atafanya kazi kwa bidii kuleta chakula nyumbani sababu atahitaji kula sana ila huyo sharobaro atakuwa ananilisha mahindi ya kuchoma na juisi ya ukwaju. kusikia hivyo mi na Nambe tukabaki midomo waaazi kwa busara za farkhina.
Ulikua wapi?
Linokua na zunguka eneo la lindo
we mlinzi humu ndani?
I missed u Lady Doc
Upo mie mlinzi humu nimepata ajira. Lady doctor
hongera, mie nipo wangu
Ahhahahahaha nshaolewa babu wee😛😛😛😛
eti ehhhh.....Majungu hayo,mimi mbona nae wangu mimi49 miaka kibao?
eti ehhhh.....
wapi huko mrembo nikufuate nikuletee network coverage
mwambie asijekupata madhara njiani...'asione vya elea....huku nyanda za juu kusini mwekundu ila kabla hujaanza safari itabidi umuage Kipaji Halisi kwanza
Dah haya mie umeniweza..inbox yako nadhani haijajaa kama ya charminglady maana ameweka avatar nzuri huyo heee akina BUBUji wakipita wanaenda inbox
huku nyanda za juu kusini mwekundu ila kabla hujaanza safari itabidi umuage Kipaji Halisi kwanza
Ha ha ha kwani ndoa ni kifungo lol!!!hee!! mbona naona uko huru !?