Ngongoseke
JF-Expert Member
- Jan 1, 2012
- 3,202
- 1,464
Last edited by a moderator:
Mambo vp mzee wa totoooz!!
toka jana naona vyakula vya ajabu khaaa!
Hahahahahha subiri niupure sana unless natisha...
Heee yanekuwa hayo....
Naona usharudisha maguu,,,
Hahahahahha subiri niupure sana unless natisha...
Na kikiiva usile....
Hivi we ushakula?
Hahahahhaha😛😛😛😛😛😛😛😛
mbona unacheka?mwenzio sina piiem avatar yangu mbaya!
Yeah masaa mawili tayari...
akhuu nasikia leo ni ugali kwa mayai mi siwezi..
Mwenzangu bora umerudi wanaume hawa wametushindisha njaa yani hapa ni miayo tu kwasana
Hee! Mara hii unakana kauli yako!!!
Aahahahaha na macho hayo maashallah
Mie nimeshiba hapa kitumbo mbwiii
Kwani ata wamepika basi!! Yani hawa wavivu sana