Nani yuko macho tupige stori?

Nani yuko macho tupige stori?

Dah aisee pole mkuu, foleni sa7 usiku? Park gari ukalale kuna gest bubu hapo kuanzia msikitini, rombo, baruti..dont risk kudrive night

Bora hata angekua na gari zile toy za watoto simple anaiweka mfukoni anaondoka zake🙄🙄🙄🙄🙄
 
hata ule wa unga?

Ule wa unga ni kiboko..nikiwa Mazengo tech na akina Mwigulu ndio ilikuwa bonge la mboga, jamaa wa Sngd na dodoma walikuwa wanauleta na unatumika term nzima.

Ule haupikwi bana, ni kumix kwa beans tu unapiga na ugali...maisha haya kweli tumetoka far jmn
 
Ndio ukoje? Hebu nifahamishe bhana weee
 
ni mlenda fulani hivi umeandaliwa kabisa,unafanya tuu kuuchemsha kwenye maji na karanga,nilikula long time ago kwenye pitapita zangu...ila sikuupenda,

Mambo ya watu sijawahi kula hasaa....
Nialike uupike huwo mlenda nione mtamu vipi...
 
Ule wa unga ni kiboko..nikiwa Mazengo tech na akina Mwigulu ndio ilikuwa bonge la mboga, jamaa wa Sngd na dodoma walikuwa wanauleta na unatumika term nzima.

Ule haupikwi bana, ni kumix kwa beans tu unapiga na ugali...maisha haya kweli tumetoka far jmn

wangu ule mlenda ni mtamu sana afu unapikwa bana unauweka jikoni,unaweka karanga au maziwa mpaka usikie unanukia ndo unaiva nimeuagizia kwa bibi atantumia huku nlipo nimeumic sana.upate na mchuzi weee utakula ugali hadi basi farkhina ujaribu
 
Last edited by a moderator:
Ndio ukoje? Hebu nifahamishe bhana weee

Dah sjui nianzaje:

Ni kama dawa hiviii..yani ulivunwa ukiwa green km majani afu ikakaushwa (while mantaining its greenish colour, has a lot of chlorophyll_a). Ukatwangwa then unakua unga unga kbs, alafu ni vile unakua(hygroscopic) unawekwa kwa air-tight container.

Matumizi: wako kama Jawilat wanaopika(sjui wanapikaje), ila mue nliona shule no kupika, ni kumwagia kwenye plate ya beans afu unakoroga hadi beans zinakuwa na viscocity kubwa..apply a piece of ugali sasa weeeeeee unarudia kuongeza mbona
 
Last edited by a moderator:
wangu ule mlenda ni mtamu sana afu unapikwa bana unauweka jikoni,unaweka karanga au maziwa mpaka usikie unanukia ndo unaiva nimeuagizia kwa bibi atantumia huku nlipo nimeumic sana.upate na mchuzi weee utakula ugali hadi basi farkhina ujaribu

Heee kumbe? Basi ukimix na kupika hope ni powa sana yani kama bila kupika ni vile hahahhaaha basi naungana na amu kuusifia though sjawahi onja wa hivyo
 
Last edited by a moderator:
Ule wa unga ni kiboko..nikiwa Mazengo tech na akina Mwigulu ndio ilikuwa bonge la mboga, jamaa wa Sngd na dodoma walikuwa wanauleta na unatumika term nzima.

Ule haupikwi bana, ni kumix kwa beans tu unapiga na ugali...maisha haya kweli tumetoka far jmn

hahahaaaa umenkumbusha mbali sana,unaitwa NDALU!
 
Last edited by a moderator:
wangu ule mlenda ni mtamu sana afu unapikwa bana unauweka jikoni,unaweka karanga au maziwa mpaka usikie unanukia ndo unaiva nimeuagizia kwa bibi atantumia huku nlipo nimeumic sana.upate na mchuzi weee utakula ugali hadi basi farkhina ujaribu

Naupata wapi huku mwenzangu?....
Hizo karanga zinasagwa?
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom