leo utakuwepo?
Nipooooooo
leo utakuwepo?
ya nazi au lemon?
We utakuwa mlinzi na apa unataka kujua idadi ya walinzi wenzio
Usiku mwema wapendwa.
njoo tupike donuts,sijui ndo zinavyoitwa!!😱:|
#TeamMapopoo ... Mwangaluka!!!
ya nazi au lemon?
mbona mapema mpendwa,ulale salama..
#TeamMapopoo ... Mwangaluka!!!
Nmechoka kama punda...
Leo farkhina tufundishe kupik mrenda
Nmechoka kama punda...