Kulisha macho kulitaka kunipofusha

OKW BOBAN SUNZU

Platinum Member
Aug 24, 2011
49,242
103,937
Screenshot_20231111_165131_Chrome.jpg

Jioni hivi nikawa nazubaa zubaa mtaani kusafisha macho. Nitaenda kupiga stori kwenye kijiwe jirani cha boda.

Nikiwa nimebaki mwenyewe kwa mbali barabarani ikapita pisi moja matata imefungasha. Ni lile zigo za kutetemeka kila anapopiga hatua yaani bouncing booty.

Nikasema ngoja nilishe macho huu msosi. Na macho yangu makubwa nikaukodolea ule mzigo kwa akili na mwili. Yule mdudu sijui alitokea wapi akaniingia jichoni.

Nikakosa cha kufanya ameingia ndani ya jicho. Huku nikiwa nimeshikilia jicho nikakimbilia duka la jirani anisaidie kupuliza jicho. Akapuliza kwa nguvu puuuuu, Yule mdudu akatoka alikuwa mkubwa kiasi.

Aisee kulisha macho kulitaka kunipofusha
 
View attachment 2810721

Mkuu sasa mbona hii ilikuwa ajali ya kawaida isiyohusiana na kulisha macho? Nilipoona heading ya uzi nikaja mbio mbio nikidhani labda ulikuwa unapiga chabo kumbe ni kutazama mixigo! Kucheki mizigo kawaida sana aisee!
 
Kwa hiyo kule umepigwa 5, ukaamua kuja huku popoteza mawazo nako ikapigwa na kitu jichoni...pole sana mwaka wa taabu huu
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom