Nani wanaongoza kwa kuchakachua sredi mmu?

Sasa labda ndio kaanza kwa gia g=hiyo then comment ziwe nyingi kwa kuanzisha thread
 
Wachakachuaji wakubwa MMU......AshaDii huyu balaa yaani sina jinsi ya kumuelezea......Husninyo huyu huwa anachakachua hadi Jukwaa la Matangazo Madogo......Sweetlady huyu post ya kwanza tu kitu na box halafu anachakachua thru mobile......King'asti.........hata kabla hajaanza kupost huwa najua ataenda kushoto badala ya kulia lol.......Mamndenyi huyu anachakachua hadi PM.........AfroDenzi huyu baada ya kumfundisha ameacha kuchakachua siku hizi......Bebii amekuwa mwanafunzi mzuri wa uchakachuzi......Dena Amsi huyu ndio mwalimu wao ana Phd ya heshima....kifupi wachakachuzi wakubwa ni wanawake, wanaume tunafuata maadili kabisa.

ANGALIZO:post hii hairuhusiwi kupingwa na hao waliotajwa humo
 
Wachakachuaji wakubwa MMU......AshaDii huyu balaa yaani sina jinsi ya kumuelezea......Husninyo huyu huwa anachakachua hadi Jukwaa la Matangazo Madogo......Sweetlady huyu post ya kwanza tu kitu na box halafu anachakachua thru mobile......King'asti.........hata kabla hajaanza kupost huwa najua ataenda kushoto badala ya kulia lol........AfroDenzi huyu baada ya kumfundisha ameacha kuchakachua siku hizi......Dena Amsi huyu ndio mwalimu wao ana Phd ya heshima....kifupi wachakachuzi wakubwa ni wanawake, wanaume tunafuata maadili kabisa.

ANGALIZO:post hii hairuhusiwi kupingwa na hao waliotajwa humo

King'asti
.........
ni mwanamke naye huyu au.
 
Wachakachuaji wakubwa MMU......AshaDii huyu balaa yaani sina jinsi ya kumuelezea......Husninyo huyu huwa anachakachua hadi Jukwaa la Matangazo Madogo......Sweetlady huyu post ya kwanza tu kitu na box halafu anachakachua thru mobile......King'asti.........hata kabla hajaanza kupost huwa najua ataenda kushoto badala ya kulia lol.......Mamndenyi huyu anachakachua hadi PM.........AfroDenzi huyu baada ya kumfundisha ameacha kuchakachua siku hizi......Dena Amsi huyu ndio mwalimu wao ana Phd ya heshima....kifupi wachakachuzi wakubwa ni wanawake, wanaume tunafuata maadili kabisa.

ANGALIZO:post hii hairuhusiwi kupingwa na hao waliotajwa humo
Hahahaha! Kanusha upesi kabla sijaomba mwongozo kwa Paw!...
 
Hivi nyie mbona hamna akili? mnapenda linganisha linganisha mambo ili iweje? mbona mna idiotik thread kila mara? why jamani? why???
 
wachakachuaji wakubwa mmu......ashadii huyu balaa yaani sina jinsi ya kumuelezea......husninyo huyu huwa anachakachua hadi jukwaa la matangazo madogo......sweetlady huyu post ya kwanza tu kitu na box halafu anachakachua thru mobile......king'asti.........hata kabla hajaanza kupost huwa najua ataenda kushoto badala ya kulia lol.......mamndenyi huyu anachakachua hadi pm.........afrodenzi huyu baada ya kumfundisha ameacha kuchakachua siku hizi......bebii amekuwa mwanafunzi mzuri wa uchakachuzi......dena amsi huyu ndio mwalimu wao ana phd ya heshima....kifupi wachakachuzi wakubwa ni wanawake, wanaume tunafuata maadili kabisa.

angalizo:post hii hairuhusiwi kupingwa na hao waliotajwa humo
mimi huwa sichakachiu weka ushahidi
 
mimi huwa sichakachiu weka ushahidi
Huu hapa ushahidi chini...lol...

quote_icon.png
By Bebii
wape somo sis asha dii mtu anakuja kukutongoza ana sura kama amelipuliwa na baruti bwana khaaaaaaaaaaaaa
 
Wachakachuaji wakubwa MMU......AshaDii huyu balaa yaani sina jinsi ya kumuelezea......Husninyo huyu huwa anachakachua hadi Jukwaa la Matangazo Madogo......Sweetlady huyu post ya kwanza tu kitu na box halafu anachakachua thru mobile......King'asti.........hata kabla hajaanza kupost huwa najua ataenda kushoto badala ya kulia lol.......Mamndenyi huyu anachakachua hadi PM.........AfroDenzi huyu baada ya kumfundisha ameacha kuchakachua siku hizi......Bebii amekuwa mwanafunzi mzuri wa uchakachuzi......Dena Amsi huyu ndio mwalimu wao ana Phd ya heshima....kifupi wachakachuzi wakubwa ni wanawake, wanaume tunafuata maadili kabisa.

ANGALIZO:post hii hairuhusiwi kupingwa na hao waliotajwa humo

Khaa! yaani wadada tu ndo wachakachuaji??? C'mon acha kutuonea.... Naungana na Nyamayao... Wapi kakako Kaizer?? Wapi ODM?? Wapi The Finest?? Wapi Klorokwini?? Alafu Boss mbona sioni wakimtaja na pia yee ni mtaalam?? (tena Kimey nae anaqualify kabisa!)
 
Back
Top Bottom