Nani wanaongoza kwa kuchakachua sredi mmu?

Mkuu kwa heshima na taadhima hii ni post yako ya pili tu hapa toka ujiunge 19.10.2011,hauna uzoefu wa kuwajua wala kuhoji uchakachuaji unless umeogopa kutumia ile ID ingine.

asante bro kwa kuvaa ile miwani yako mpya uliyonunua jana
 
Mkuu kwa heshima na taadhima hii ni post yako ya pili tu hapa toka ujiunge 19.10.2011,hauna uzoefu wa kuwajua wala kuhoji uchakachuaji unless umeogopa kutumia ile ID ingine.
Habari ako binafsi shemeji langu....hivi panazungumziwa nini hapa?
 
Uporoto kwa analysis sikuwezi!
Mlipuaji,pole na matumizi ya wknd
Mom nakuona ukikatiza jukwaa la siasa sio dili utapata presha bure,anzia chitchat kushuka chini kwa ajili ya afya yako.

asante bro kwa kuvaa ile miwani yako mpya uliyonunua jana
Mdogo wangu hebu nenda kwenye started thread zake utagundua jamaa bomu la Mbagala na kalipatia jina lake.

Habari ako binafsi shemeji langu....hivi panazungumziwa nini hapa?
Shemeji mi mzima sijui wewe, nina malamiko sipati nafasi ya kuongea na mupenzi siku hizi akina BAK na Mzee wanasumbua.
 
wanaoongoza kwa kuchakachua ni HUSNINYO tu.hamna mwingine anayemfuata.yeye ndo mchakachuaji mwanzo mwisho.uporoto01 mwenyewe anachakachua kwa kuunganisha comment za siasa,lugha,complaint na habari mchanganyiko sehemu moja lakini hawezi kufikia madhambi husninyo.mia
 
Mkuu kwa heshima na taadhima hii ni post yako ya pili tu hapa toka ujiunge 19.10.2011,hauna uzoefu wa kuwajua wala kuhoji uchakachuaji unless umeogopa kutumia ile ID ingine.

mpenzi mamboooooooo?? Kama ushanibwaga uniambie kabisa nikamwage cv love connect. Lol.
 
Back
Top Bottom