Nani wanaongoza kwa kuchakachua sredi mmu?

wanaoongoza kwa kuchakachua ni HUSNINYO tu.hamna mwingine anayemfuata.yeye ndo mchakachuaji mwanzo mwisho.uporoto01 mwenyewe anachakachua kwa kuunganisha comment za siasa,lugha,complaint na habari mchanganyiko sehemu moja lakini hawezi kufikia madhambi husninyo.mia
Rafiki yaani Husninyo kukukataa unataka kumchafulia CV,vipi Sugar rays walikuibia kiasi gani ?

mpenzi mamboooooooo?? Kama ushanibwaga uniambie kabisa nikamwage cv love connect. Lol.
Thubutu,kwanza marufuku kupita kule lol!
 
hivi kuna haja ya kutaja majina kweli ? mbona tunafahamiana wote. Sweetlady,King'asti,husninyo,Russianrulette,Kloro,Finest,Boss,Uporoto,Figganigga....haya jitajeni wengine lol!

Duh! kidogo niwasahau Bebii na shangazi letu Mamdenyi hahaha!
Hahahaha! Shemu hapa hujazingatia vigezo na masharti...listi inaendelea Asprin, na Kaizer hawaponi kwenye listi!
 
Nimedhalilishwa sana,nimeonewa sana,nimefedheheshwa sana
Source: edward lowassa

hivi kuna haja ya kutaja majina kweli ? mbona tunafahamiana wote. Sweetlady,King'asti,husninyo,Russianrulette,Kloro,Finest,Boss,Uporoto,Figganigga....haya jitajeni wengine lol!

Duh! kidogo niwasahau Bebii na shangazi letu Mamdenyi hahaha!
 
hivi kuna haja ya kutaja majina kweli ? mbona tunafahamiana wote. Sweetlady,King'asti,husninyo,Russianrulette,Kloro,Finest,Boss,Uporoto,Figganigga....haya jitajeni wengine lol!

Duh! kidogo niwasahau Bebii na shangazi letu Mamdenyi hahaha!
Kwa kweli umenionea bure... Mi hua najikalia introduction, doctors na lugha. Mkiniona kungine maana yake kuna kitu muhimu nataka kusema... au nimekuja kutoa "like" maana wengine wamesha ongea point yangu.
 
Mkuu kwa heshima na taadhima hii ni post yako ya pili tu hapa toka ujiunge 19.10.2011,hauna uzoefu wa kuwajua wala kuhoji uchakachuaji unless umeogopa kutumia ile ID ingine.

yani unauliza umbea keko??

mewnyeji huyo
 
Son,wala usitie shaka. Hakuna wa kunishusha presha wala sukari, I'm a survivor.ila nikitipiwa mawe plz uniokoe eeh
Mom nakuona ukikatiza jukwaa la siasa sio dili utapata presha bure,anzia chitchat kushuka chini kwa ajili ya afya yako..
 
hivi kuna haja ya kutaja majina kweli ? mbona tunafahamiana wote. Sweetlady,King'asti,husninyo,Russianrulette,Kloro,Finest,Boss,Uporoto,Figganigga....haya jitajeni wengine lol!

Duh! kidogo niwasahau Bebii na shangazi letu Mamdenyi hahaha!

naunga mkono hoja ila penye nyekundu weka mamamdogo
 
Hehehe! Ww ndo umechakachua! Afu ashadii ndo kanifundisha hii tabia mi sikuwaga hivi maskini wa mungu. Ntaacha

King acha kuniharibia CV.... Hivi umeona jina langu likitajwa humu?? lol ..... Utakua umechanganya alokufundisha mwingine.....
 
I will never forget that day,ww na the boss. Swtlady hajakutaja mi najua sababu. Sweetie wako awemo ww usiwemo,ntaandamana!

hahahaha..... Jamani you wonderful wifi of mine... yamekua hayo tena... Wewe siku ile tupo na The Boss mbona tulikua within topic.... Alafu bana Sweetie wamempatia kabisa...lol... Hata hivo naona atakae chukua kombe ni ODM..... Nashangaa tu sijui wamemsahau wapi The Finest...
 
Mambo yote yapo kwa tablet Asprin na Klorokwin. Hawa wakishaanza tu lazima thread iende page za kutosha!

hahahaha..... Jamani you wonderful wifi of mine... yamekua hayo tena... Wewe siku ile tupo na The Boss mbona tulikua within topic.... Alafu bana Sweetie wamempatia kabisa...lol... Hata hivo naona atakae chukua kombe ni ODM..... Nashangaa tu sijui wamemsahau wapi The Finest...
Yaani Manchester United walivyofungwa goli la sita nikajua sasa basi!

Kwaniaba ya wafanyakazi wenzangu wa famasi na wodini nawasalimuni wote

Baada ya kusema hayo, Narudi zangu Chamazi kuangalia mechi ya Toto Africa na Coastal Union.Habari mpya ni kuwa zile raba mtoni nilizonunuliwa na baba mkwe wakati wa pasaka zimenibana, naziuza.
 
Ukisikia typical uchakachuaji ndo huuu......lol.... Mpaka hapo sijaona lililopo ndani ya topic.....
 
Back
Top Bottom