Nani wa kumpisha kati ya hawa binadamu 4?

Nani wa kumpisha kati ya hawa binadamu 4?

Nitajifanya naumwa nitajikohoza hd machozi maana hapo utamwachia nani? kwanza gari lenyewe inawezekana umezunguka nalo umelipa nauli mara 2 halafu niachie mtu?
 
Da huwa sipendagi haya mambo ktk bus tena unakuta anasogea karibu yako ndio mana najibanaga siti ya dirishani
 
Ki ukweli ndo maana mimi huwa napenda siti ya ubavuni ili kukwepa hivi vitu
 
Back
Top Bottom