Nani wa kumpisha kati ya hawa binadamu 4?

Nani wa kumpisha kati ya hawa binadamu 4?

Herbalist Dr MziziMkavu

Platinum Member
Joined
Feb 3, 2009
Posts
43,076
Reaction score
34,847
NANI W A KUMPISHA KITI HAPO.jpg
 
bibi atakumbatia mtoto akikataa kumkumbatia anapewa kiti mama na mtoto aweze kunyonyesha.


swissme
 
Hili jambo huwa linanikwaza sana,mtu anaona kabisa gari imejaa,harafu anapanda na mtoto mdogo ili aonewe huruma apishwe siti,...khaa harafu sio muda ambao usafiri ni shida....
 
Mmemuona huyo wa nyuma kabisa mwenye D? Hao wengine utawapisha kwa huruma tu lakini huyo wa mwisho!! Utalazimika!
 
Wakae tu siti nyengine kama imejaa wasubiri gari nyengine
 
Mara chache usimama hili mtu akae hasa kukiwa kuna shida ya usafiri. Lakini usafiri sio tabu mtu anaona limejaa hila kigezo chake ni umri au ulemavu anajibana tu akijuwa atapata cit tu.
 
hapo nampisha mgonjwa huku nikimsaidia kumbebea mama mgonjwa na bibi mkoba
 
Back
Top Bottom