Nani wa Kishua Zaidi

Tasbeeh313

JF-Expert Member
Oct 16, 2015
1,915
2,046
..√Mshikaji kamuona demu mkali anakatiza kitaa akamkubali akaamua kujitoa ufahamu na kumfuata ,na ilikuwa hivii

^ MSHIKAJI, mambo mrembo?

^DEMU, powa

^MSHIKAJI, umependdeza Sana mrembo

^DEMU, Tenxx

^MSHIKAJI, sory unaweza kunisaidia namba yakoo ya simu pls??


Demu baada ya kkuambiwa vile akatoa pochi yake kiroho safi na kutoa noti ya sh. 10000 akaandika namba yake kwenye noti na kumpa mshikaji


Mshikaji akapokea ile noti akachana sehemu. Iliyoandikwa zipe mamba za simu na kumrudishua yule manzi noti take

Nani wa kishua zaidi

Nani anadharau zaidi ya mwenzake
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom