Nani ungependa awe Mwanasheria Mkuu mpya wa Serikali ya Rais Mpya ?

Serikali nzima inahusika, wadau mbalimbali wanahusika, vyama vya upinzani vinahusika, mashirika binafsi n.k
Uhusika wa AG ni kuishauri serikali kuhusu masuala yote ya sheria, lakini yeye hatungi sheria.
Pia hana kura ndani ya Baraza la Mawaziri hivyo maamuzi siyo yake.
Nafasi yake ya ushauri ina maana gani ikiwa kama hana analoweza kubadilisha ?
 
Tundu Lissu awe mwanasheria mkuu

Fatma Karume awe mwendesha mashtaka mkuu wa serikali

Maria Sarungi awe msemaji wa wizara ya Habari

Mama asituangushe hapo, maendeleo hayana vyama.
 
Yeyote atakaye weza kusimamia mikataba kamacile ya bandari ya Bagamoyo na kurudisha Taifa kuleta wawekezaji wengi wa kulipa mirahaba asilimia tatu. Wigo wa walipo kodi uongezeke.
 
Back
Top Bottom