Nani unampenda zaidi hapa JF?

Nani unampenda zaidi hapa JF?

Na kitu gani kimekuvutia kwake? Mi bado mgeni sijafahamu member wa humu vizuri nataka niwafahamu wenye sifa mbalimbali. Kwa sasa najipenda mwenyewe.

kama wewe ni mgeni tulia na ujipangie muda wa kuwasoma members wengine kulingana na ufahamu na mapenzi yako. Nitakayempenda mimi wewe huwezi kumpenda, na kitakachonivutia mimi kwa mtu yeyote inawezekana wewe kisikuvutie.
 
Na kitu gani kimekuvutia kwake? Mi bado mgeni sijafahamu member wa humu vizuri nataka niwafahamu wenye sifa mbalimbali. Kwa sasa najipenda mwenyewe.
Mimi nampenda sana Preta kinachonivutia kutoka kwake ni avatar yake, japo nina wasi wasi anaweza akawa tofauti kabisa na Avatar yake, mungu aepushie mbali...lol
 
Back
Top Bottom