Nani unampenda zaidi hapa JF?

Nani unampenda zaidi hapa JF?

Mods piga ban wote wanaofanisha member wapya na wa zamani.

We ni mgeni kweli ? Mgeni umejuaje uliefananishwa nae ni wazamani ?kama ni mgeni mwenzio ? Umeshajua na vya kupigana ban ! Tizama jina langu then utajua tuzoefu wa kujua wewe ni mgeni au mwenyeji nimeupataje!
 
wewe ni jinsia gani?
 
wewe ni yule yule Mwita25 na Amwit52 it is the same name usituchanganye kwa Utoto wako nenda kanyonye maziwa ya mama. Nakuona bado hujakua kiakili.

msubiri mwenye jina lake atakujibu.
 
member gani mpya wakati tayari wewe ni kibabu cha kwenye jf kumbe unapenda kurudi kuwa mtoto eh umeliwa mwita25
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom