Hakyamama kwa komenti hii, safari ya Tanga iko mbioni.... Jiandae.
Nkakukubali sana my sweetheart
Ha ha haa mi najiongeza kwenye list hapo, maana nakukubali
Ila kuna mtu namkataa sana
Nimtaje?
Mimi najikubali mwenyewe
Mwache kwanza atajisema mwenyewe
namkubali cute b