Nani unamkubali sana JF?

Nani unamkubali sana JF?

Huyu bi dada misschagga huwaga namkubali....

Mwingine nifah sema basi tu ni Team kiba.... Bila kumsahau Dinazarde FaizaFoxy .... Nani amenuna?

Hahahaaa,kama kuna aliyenuna na a sign of!
Acha hizo bwana, huu u Kiba vs Diamond kisiwe kikwazo.
Nakukubali ila sometimes......
 
Last edited by a moderator:
Wasije wakatangaza nia hao mnaowakubali....hahahahaha najikubali mwenyewe
 
Lara 1 hana mpinzani,,,hila kwa notes utazan mwalimu wa history ,duh!
 
Mie si mwenyeji sana hapa JF. Hata hivyo wachangiaji wengi ni makini sana. Mnatupa maarifa na uzoefu. Binafsi nawakubali hawa: FaizaFox, Lara 1, Mzizi mkavu, Mshanajr, Misschaga, Shyland, Mzee Mwanakijiji, nifah, and Heaven on Earth. Endeleeni kutupa maarifa wajama.
 
Mi namkubali faizaFoxy, misschaga , angelita, MankaM, amu , @Watu8, Asprin , mito, na wengine wooote.

Hakyamama leo nimepata zali kama alilopata Membe kumpokea prezidaa Kagame. Kukubaliwa na kubwa la maadui ni bahati kama Lowassa kutangaziwa nia na wachungaji na mashehe.

long live lara 1 moko. Mi najua unajua navyokukubali. Yani basi tu yani.
 
Last edited by a moderator:
Nawakubali sana Ma-Ex zangu.
Pamoja na mume wangu wa sasa TANMO
 
Last edited by a moderator:
am very happy to be in your list lara 1, much appreciated from you - the one woman army!!!
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom