Nani unamkubali sana JF?

Nani unamkubali sana JF?

As children of God you all are awesome because of the talents God put in you all . So because of that you are all Blessed and I accept all of you the way God created you and be the way you are today . You are all Beautiful people with beautiful heart .Thanks.
 
aff leo nimeamini kumbe sikubaliki lol........!:madgrin::madgrin:
 
aff leo nimeamini kumbe sikubaliki lol........!:madgrin::madgrin:
 
Nawakubali wote niliowakuta humu..niliwaangaliwa kwanza michango yao ndio nikaelewa nianzie wapi:thumbup:
 
Hakyamama leo nimepata zali kama alilopata Membe kumpokea prezidaa Kagame. Kukubaliwa na kubwa la maadui ni bahati kama Lowassa kutangaziwa nia na wachungaji na mashehe.

long live lara 1 moko. Mi najua unajua navyokukubali. Yani basi tu yani.

Mzeee wangu wa ukwelinupooo, Nakukubali sana Asprin saaaana.

In addition nawakubali Mzizi Mkavu BAK, AshaDii Dark City @C6 Mtambuzi Watu8 Eli79 snowhite @FP kyanaKyoMuhaya BHULULU, hawa the most.

Though JF wote wapo vizuri, kila mtu kwa nafasi yake
 
Last edited by a moderator:
Back
Top Bottom