usiwe na shaka
Donjama hata mimi natumia jf mobile na nilianza kujifunza pole pole na mpaka sasa naendelea kujifunza kupitia member wa jf.
Hata kama unatumia simu,mwisho wa siku utakuwa na ujuzi wa kumention mtu kama
Donjama ,umeona jinsi jina lako lilivyotokea,ukiclick hapo kwenye jina lako profile yako inafunguka.
Pia kupitia simu,utaweka kuweka maandishi yako rangi kama ifuatavyo
[COLOR=]Donjama akaribishwa na wanachita chat,apata makaribisho ya nguvu[/COLOR] ,Hii siyo computer bali nimetumia simu tu,tenda ambayo siyo smartphone.
Pia utaweza kuona uzuri wa Jf kwamba hata uwe na simu utaweza kupiga maneno yako mstari kwa mfano
Donjama atamani kujifunza mengi ,hivyo ni wewe tu kuwa ukiendelea kujua taratibu.