Nani Role model Wako?

Lakini huyu bwana amezungumzia "mtu" kwa maana ya binadamu. Kumhusisha Kristo hapa ni dharau kwa utukufu wa Mungu.

Mi role model wangu ni "watu wasiojulikana"

Natamani siku moja nikutane nao wanipe mbinumbinu...

Kuna watu ningekuwa nshawahamishia ahera, sema nashindwa kwakuwa najulikana...

Sipendi kuona watu wenye mioyo ya kikatili na wenye roho mbaya zilizopitiliza wakiendelea kuwatesa watu wasio na hatia hapa duniani... kwa sababu tu ya chuki za kisiasa.

Hapa najua Otorong'ong'o ataniunga mkono kwa mara ya kwanza.

Cc: wakatoliki wabobezi Sky Eclat Kaizer (choir master) snowhite mwalimu wa ukweli.
kuwa mtu husiyejulikana ww huwez kijana maana unahuruma pia upend watu waonewe kwhy baki kuwa known
 
Nawasalimu wote!

Kuna msemo "we are what we are because of other people"

Ni ukweli kabisa kwenye hekaheka zetu za kila siku tunafanya mambo mengi makubwa kwa kuiga mfano toka kwa mtu au watu fulani.

Niwe muwazi kwa hapa bongo ninao watu wanaonifanya niwe mtu wa tofauti kwenye nyanja mbalimbali kwa mfano kwenye siasa namkubali sana Andrew Chenge, kwenye sheria Lissu, kwenye utajiri Nimrod Mkono.

1. Andrew Chenge
Amenifanya nidhamirie kuwa mwanasiasa wa aina yake. Sijui nitampataje nionane nae uso kwa uso.

2. Tundu Lissu
Amenifanya niipende taaluma ya sheria ukiachalia mbali nilikuwa mpenzi wa sayansi lakini huyu mtu amenifanya nigundue wito wangu ni kuwa lawyer.

3. Nimrod Mkono
Mbali na utajiri wake kutotangazwa hovyo naamini hakuna mtanzania anaye mvaa kifedha. Anyway, nimevutiwa na style ya utajiri wake.

Ningependa kujua kutoka kwenu watu walio saidia kukubadilisha kimtazamo, kifikra, kitabia, kimaendeleo nk....
D.C wa dar na mh magu
 
Baba na mama na baba wadogo, mama wadogo wote Mungu awalaze pema peponi bila wao ukoo usingesimama. Mizizi kwanza ndo matawi. Mtaangaika na mambo ya nchi lakini kama ukoo na familia mnayumba hakuna kitu. Ukoo wangu pande zote mbili GADO. Wa baba mndogo utafikiri tumetoka tumbo moja, wa mama wadogo utafikiri mama yetu mmoja na hata tuna vikao vya ukoo. Big up our clan. Haya ya siasa watajiju.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom