King Kong III
JF-Expert Member
- Oct 15, 2010
- 51,672
- 68,637
ZIRO BRAIN????? Huyo ataendelea kuwa RAIS Wa WASAFI.
Just Wait, you will remember this thread six years coming.A huge none sense for today. Hope u sleep well
Kuna moja umemsahau kutoka Tanga ila sijui kama watafanikiwa kuongoza nchi hii kwa sababu nijuazo. Labda Jaffo miaka 16 ijayo Mungu akimpa uhai.
Umelewa gongo iliyopimwa wewe. Haiwezekani MTU ambaye ana kesi ya jinai inayomsubiri ya kufoji vyeti afikiriwe nafasi kama ile. Acheni utani katika mambo serious. Huyo Bashite ajiandae kufikishwa mahakamani 2025. Anayembeba sasa hivi atakuwa ame-exit!2025 Huenda akawa Mgogo mmoja ambae Ni Prof wa Sheria
Una chuki binafsi naye ila usije kushanhagaa akiwa ikulu ya Chamwino akiamua kwa niaba yetu.Umelewa gongo iliyopimwa wewe. Haiwezekani MTU ambaye ana kesi ya jinai inayomsubiri ya kufoji vyeti afikiriwe nafasi kama ile. Acheni utani katika mambo serious. Huyo Bashite ajiandae kufikishwa mahakamani 2025. Anayembeba sasa hivi atakuwa ame-exit!
...watakuwepo !?Umofia kwenu wadau wa JF siasa.
Tetesi zipo japo mnaweza kubisha ila mtanikumbuka 2025, kuwa wagombea urais ndani ya CCM watakaotikisa ni Dr Medard Kalemani waziri wa Nishati, RC Makonda na Dr shein Rais wa sasa wa Zanzibar.
Habari za udaku kutoka ktk medani ya siasa nchini inamtaja Dr shein kuwa mtu mwenye sura ya upole lakini anayeweza kuhimili siasa za JMT kwani ni Makini na mkali mno tofauti tumuonavyo.
Waziri Dr Kalemani anatajwa kubebwa na sifa ya usambazaji umeme kwa vijiji vyote hadi kwenye tembe huku Tanzania ikiwa nchi ya kwanza Africa kutoa huduma hiyo kwa wananchi wake.
RC Dar Paul Makonda anatajwa kuwa ni mtu mbunifu ktk uongozi wa kutatua shida za watu na mtu mwenye uvumilivu zaidi ya hata Lowassa kutokana na kuhimili kejeli na matusi kutoka kwa watu wanaomchukia waliotapakaa kote nchini. Inadaiwa Dar ama Mzizima haijawahi na haitakaa impate RC kama huyu.
Chanzo changu nyeti serikalini kimenijuza Rais yupo hapo juu miongoni mwa watatu na nasubiri Uzi huu kufukuliwa November 2025.
Mmmmh ....yaani !Umofia kwenu wadau wa JF siasa.

Hizi tetesi sio za mtu anaye. Jitambuwa pia haujuwi mfumo. Sio makonda Wala kaleman hawajawahi fikia vigezo vya Magufuli hawa ni wakawaida sana na Uwenda watapotea ktk siasa baada ya mkuu. Take from meUmofia kwenu wadau wa JF siasa.
Tetesi zipo japo mnaweza kubisha ila mtanikumbuka 2025, kuwa wagombea urais ndani ya CCM watakaotikisa ni Dr Medard Kalemani waziri wa Nishati, RC Makonda na Dr shein Rais wa sasa wa Zanzibar.
Habari za udaku kutoka ktk medani ya siasa nchini inamtaja Dr shein kuwa mtu mwenye sura ya upole lakini anayeweza kuhimili siasa za JMT kwani ni Makini na mkali mno tofauti tumuonavyo.
Waziri Dr Kalemani anatajwa kubebwa na sifa ya usambazaji umeme kwa vijiji vyote hadi kwenye tembe huku Tanzania ikiwa nchi ya kwanza Africa kutoa huduma hiyo kwa wananchi wake.
RC Dar Paul Makonda anatajwa kuwa ni mtu mbunifu ktk uongozi wa kutatua shida za watu na mtu mwenye uvumilivu zaidi ya hata Lowassa kutokana na kuhimili kejeli na matusi kutoka kwa watu wanaomchukia waliotapakaa kote nchini. Inadaiwa Dar ama Mzizima haijawahi na haitakaa impate RC kama huyu.
Chanzo changu nyeti serikalini kimenijuza Rais yupo hapo juu miongoni mwa watatu na nasubiri Uzi huu kufukuliwa November 2025.
Soma katiba wewe Acha ukiraza naada ya kusataafu haruhusiw kuingia kwenye siasa.Tanzania inahitaji watu makini kama Lissu au Assad. Wengine wote ni wale wale. I wish assad astaafu alafu aje upinzani 2020 awe mgombea mwenza na Tundu lisu. Apo hata wakiibiwa kura mimi binafsi nipo tyar kufight kufa na kupona had haki ipatikane.
Sent using Jamii Forums mobile app
Mbowe alishatabiri kuwa "tukiukosa URAIS " 2015 basi upinzani itabidi usubiri miaka zaidi ya 50 kuchukua nchi.Rais ajae atatoka kambi ya upinzani, upepo wa kisiasa utageuka ghafla
Live bora mujahidini ni disminder wagalatia hawajielewi wanatuchosha tu na kuharibu maisha yetu kwa mawazo yao ya kimaskini ya kijamaaNi zamu ya WAISLAMU. Wagalatia acheni hila.
Historia haiwabebi mawaziri wakuu ndani ya ccm
Mbowe ni Mungu?Mbowe alishatabiri kuwa "tukiukosa URAIS " 2015 basi upinzani itabidi usubiri miaka zaidi ya 50 kuchukua nchi.
Sijui una Umri gani lakini probability ya wewe na mimi kumuona RAIS kutokea upinzani ni 0.0000000something