Nani ni nani urais wa JMT 2025 kati ya Dr. Kalemani, Paul Makonda na Dr. Shein?

F

Freed Freed

JF-Expert Member
Jun 27, 2017
4,433
2,000
Kwa hiyo mna zamu ngapi?zinaendaje?Toka Ben ,JK mpaka mchungaji Jiwe.inabid usaidiwe.
Uongozi wa nchi kikatiba hauna zamu kinachoangaliwa ni sifa za mhusika tu.ingekuwa hivyo Nyerere asingemwandaa sokoine,pili baada ya mkapa angekuwa mzanzibar .
Hivi kumbe Nyerere alikuwa akimwandaa Sokoine?
 
Jp Omuga

Jp Omuga

JF-Expert Member
Jan 16, 2012
3,917
2,000
Wewe hutaamini lakini subiri
Na ikitokea nitathibitisha uhalali wa kauli yangu niliyoitoa hapo juu..
Anyway..
Kama ambavyo mwananchi ni tofauti na wananchi... Mtanzania naye ni tofauti sana na Watanzania!!
 
Dr Programmer

Dr Programmer

JF-Expert Member
Apr 10, 2012
312
500
Umofia kwenu wadau wa JF siasa.

Tetesi zipo japo mnaweza kubisha ila mtanikumbuka 2025, kuwa wagombea urais ndani ya CCM watakaotikisa ni Dr Medard Kalemani waziri wa Nishati, RC Makonda na Dr shein Rais wa sasa wa Zanzibar.

Habari za udaku kutoka ktk medani ya siasa nchini inamtaja Dr shein kuwa mtu mwenye sura ya upole lakini anayeweza kuhimili siasa za JMT kwani ni Makini na mkali mno tofauti tumuonavyo.

Waziri Dr Kalemani anatajwa kubebwa na sifa ya usambazaji umeme kwa vijiji vyote hadi kwenye tembe huku Tanzania ikiwa nchi ya kwanza Africa kutoa huduma hiyo kwa wananchi wake.

RC Dar Paul Makonda anatajwa kuwa ni mtu mbunifu ktk uongozi wa kutatua shida za watu na mtu mwenye uvumilivu zaidi ya hata Lowassa kutokana na kuhimili kejeli na matusi kutoka kwa watu wanaomchukia waliotapakaa kote nchini. Inadaiwa Dar ama Mzizima haijawahi na haitakaa impate RC kama huyu.

Chanzo changu nyeti serikalini kimenijuza Rais yupo hapo juu miongoni mwa watatu na nasubiri Uzi huu kufukuliwa November 2025.
Hivi mbona mnatujazia server kwa nyuzi za kipuuzi? Bashite na zirooo yake hatakuwa rais wa wapi labda koromije iwe nchi
 
S

SUTAGI-

Member
Nov 9, 2018
47
125
Siku hizo Makonda atakuwa Raisi wa Wachafu mpinzani Mkuu wa Wasafi chini ya Diamond Platnums. Ukuta wa Jiwe unaomkinga utakuwa unalima mbaazi chattle.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
J

jellyFish

JF-Expert Member
Mar 6, 2013
306
225
Maoni ya hovyo kabisa.Hakuna hata mmoja kati ya unaowataja atafanikiwa. Possible candidates mimi naona ni Selemani Jaffo au Prof. Mbalawa

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Top Bottom